Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa wengi sana wanaulizia habari ya kitengo cha Habari kilicho chini ya Haji Manara.
"Watu wanaendelea kutuma maombi ya kazi ila wengi wamejitokeza kuomba kazi kwenye kitengo cha Media Officer, nadhani wataendelea kufanya hivyo mpaka muda wa maombi utakapofungwa," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment