NDOTO YA HAJI MANARA YAGONGA MWAMBA
Ndoto ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na utabiri wake wa kuitabiria Senegal kupoteza dhidi ya Tunisia imegonga mwamba baada ya miamba hao kuichazara Tunisia bao 1-0 dakika za mwisho na kuweza kutinga fainali ya AFCON.
Hiki ndicho aliandika Manara kabla ya mechi katika ukurasa wake wa Instagram.
Senegal wamebebwa.
ReplyDeleteSenegal wamependelewa sana
ReplyDelete