NEYMAR Jr mwenye miaka 27 bado ameendelea kushinikiza ndani ya klabu yake ya PSG apewe ruhusa ya kusepa mazima.
PSG bado hawajakubali kumuachia nyota huyo ndani ya kikosi hicho kutokana na uhitaji waloonao ilihali mwenyewe hana furaha ya kubaki ndani ya kikosi chicho.
Neymar amesisitiza kuwa kumbukumbu yake njema kwenye soka ni kitendo cha Barcelona kuinyoosha PSG mabao 6-1 kwenye Ligi ya Mabinwgwa mwaka 2017.
0 COMMENTS:
Post a Comment