July 31, 2019

HARUNA Shamte, fundi wa mipira iliyokufa anatajwa kumalizia hesabu za usajili ndani ya Simba.

Shamte akiwa ndani ya Lipuli kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho ametupia jumla ya mabao matatu na yote ni kwa mipira iliyokufa.


Akizungumza na Saleh Jembe kuhusu kujiunga na Simba amesema kuwa:- "Sina tatizo na timu yoyote, dili likiwa kubwa nasaini, kwani kazi yangu mimi ni mpira.

"Kuhusu kuzungumza nao kwa sasa siwezi kusema ila nami pia naskia kwamba nahusishwa na Simba, kama itatimia itakuwa vema," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic