July 19, 2019


WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2019/20 ameshapatikana na kinachosubiriwa ni kusainiwa kwa mkataba.

Kidao ametoa taarifa hiyo wakati akijibu maswali ya wadau mbalimbali wa soka kupitia ukurasa rasmi wa twitter wa shirikisho hilo, utaratibu alioamua kuufanya mara moja kila wiki.

8 COMMENTS:

  1. Kwanini huyo mdhamini aliyepatikana hawekwi wazi?

    ReplyDelete
  2. Wanatafuta 10percent yao,kwanini wanaficha mambo?

    ReplyDelete
  3. Mda ukifika watamuweka wazi,hakuna haja ya kumtangaza ikiwa bado hats hawajaingia mkataba.

    ReplyDelete
  4. Sasa washughulikie viwanja. Ni aibu kwa ligi kuchezewa kwenye baadhi ya viwanja .Timu isiyokuwa na uwanja wenye hadhi isikubaliwe kushiriki ligi.

    ReplyDelete
  5. Kuna Watu Humu wana akili za Kuvukia Barabara, umeambiwa Mdhamini kupatikana Ila kilichobaki ni Saini tu, sasa watu wanatakaje Mdhamini atajwe ilhari hajasaini Hiyo contract?

    ReplyDelete
  6. Sawa Wazee,mimi naoa wiki ijaayo bado namtongoza yule msichana nikishafanikiwa ntawajulisha

    ReplyDelete
  7. Anadhamn ligi au timu mpk leo hajasaini wkt imrbak mwez timu zinatakiw kujua terms

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic