August 1, 2019

AZAM FC, leo itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi Tanzania uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.

Mchezo huu ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kimataifa wa kombe a Shirikisho dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia unaotarajiwa kuchezwa Agosti 10 nchini Ethiopia.

Huu unakuwa ni mchezo wa pili wa kirafiki kwa mabingwa hao wa kombe la FAbaada ya mchezo wa kwanza kucheza na mabingwa wa Burundi. Aigle Noir na kuichapa mabao 2-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic