August 7, 2019


MABINGWA watetezi wa Jombe la Shitikisho Azam FC wamekwea pipa kuifuata Fasil Kenema ya  Ethiopia.

Azam FC itamenyana na Kenema Agosti 10 ukiwa ni mchezo wa awali wa kimataifa.

Azam FC kabla ya kukwea pipa leo uskiu iliwatanguliza viongozi kwa ajili ya kuandaa mazingira ya timu ilitanguliza msafara wa viongozi uliokuwa chini ya Ofisa Mtendaji Mkuu. Abdulkarim Amin, 'Popat'.

Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa kwa sasa safari yao inaendelea salama.

Akizungumza na Saleh Jembe, Magannga amesema mashabiki waisache kuwaombea dua.

"Safari iko poa na kwa sasa tupo Adis Ababa tunasubiri ndege ya pili ya kwenda uko tutakakochezea," amesema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic