August 5, 2019


WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.

Mwakyembe ameongozana na viongozi wa Simba ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo', Crescentisus Magori ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Simba pamoja na waneanza shughuli ya kukagua uwanja wa nyasi bandia na asilia mabao utawekwa jiwe la msingi.

Pia mashabiki wa Simba wamejitokeza kushuhudia tukio hilo la kihistoria.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic