August 4, 2019

LEO Simba waliendelea na mipango yao kuelekea kilele cha Sportpesa Simba wiki baada ya kutoa fursa kwa mashabiki waliolipa kiingilio cha Platinum na Platinum Plus kupiga picha na wachezaji wa Simba.

Baada ya kukamilisha zoezi hilo, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesindikiza picha hizo na aina yake ya maneno ambayo ni kama dongo la kiaina kwa watani zake Yanga.

Manara ameandika namna hii: "Mipicha picha ya leo Serena hoteli katika tukio la mashabiki waliolipia kiingilio cha Platnum na Platnum plus ambapo walipata fursa ya kupiga picha na wachezaji wetu.

"Hili halijaigika coz linahitaji nafasi na fursa. Sportpesa Simba Week,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic