HAJI MANARA AIBUKA NA JIPYA SIMBA, AMTAJA BALINYA YANGA, UNAWEZA UKACHEKA - VIDEO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, amewataka mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, kuitangaza vyema kampuni ya ubashiri ya SportPesa kwani ndiyo kampuni inayowalipa mishahara wachezaji wa klabu hizo.
Mmmh Manara sijamuelewa mbn ameongelea nini hivo?
ReplyDelete