Hongera sana Team nzima ya Management ya simbasc pamoja na bord ya wakurugezi ikiongizwa na kijana mwenzetu mpenda maendelea ya michezo Tz Mo dewji. Hakika yale uliyo yakusudiwa shabaha ya kwanza ilikuwa ni kujenga uwanja club imiliki uwanja wa mazoezi na dhahiri hili tayari limefanikiwa Asante sana Mo ipo haja kila mtu aishabikie simbasc.
Sishangai yanayotokea Yanga kwenye mechi za kirafiki na za mashindano ya CAF nilishashauri huko nyuma kuwa Yanga inahitaji kuliimarisha benchi la Ufundi kuongeza ujuzi na mbinu kwani viwango vya wachezaji vinaporomoka kwa kiwango cha juu mno....uwezo wa benchi la ufundi la Yanga ni mdogo mno...na kama hatua za haraka hazitachukuliwa kuliimarisha benchi la ufundi kuna hatari sana huko mbele aibu itatokea...Mimi si tu kwamba ninatathmini mchezo wa soka kwa umahiri ninazichambua timu kutokana na mechi zinazocheza.....nilisema kuwa Yanga inahitaji kuiiga Simba kutafuta Kocha Msaidizi kutoka Ulaya au Hata Amerika Kusini au Asia au Hata Africa mwenye viwango vya FIFA....ili wachezaji waongezewe mbinu katika mashindano.....Bado Yanga wana wachezaji wazuri lakini soka wanalocheza watapata tabu wakicheza na timu zenye mbinu za kubadilisha mchezo haraka.....kwahiyo hili la kubadilisha au kuliimarisha benchi la ufundi haliepukiki
Jiulize pia ukishinda mechi za kirafiki unapata pointi ngapi na zinakusaidiaje kama mwalimu.Mechi za kirafiki zinatumika kujua uwezo wa wachezaji wote ili wanaofanya vizuri waingizwe kwenye first eleven.
Hongera sana Team nzima ya Management ya simbasc pamoja na bord ya wakurugezi ikiongizwa na kijana mwenzetu mpenda maendelea ya michezo Tz Mo dewji.
ReplyDeleteHakika yale uliyo yakusudiwa shabaha ya kwanza ilikuwa ni kujenga uwanja club imiliki uwanja wa mazoezi na dhahiri hili tayari limefanikiwa
Asante sana Mo ipo haja kila mtu aishabikie simbasc.
Big up next level.
ReplyDeleteSishangai yanayotokea Yanga kwenye mechi za kirafiki na za mashindano ya CAF nilishashauri huko nyuma kuwa Yanga inahitaji kuliimarisha benchi la Ufundi kuongeza ujuzi na mbinu kwani viwango vya wachezaji vinaporomoka kwa kiwango cha juu mno....uwezo wa benchi la ufundi la Yanga ni mdogo mno...na kama hatua za haraka hazitachukuliwa kuliimarisha benchi la ufundi kuna hatari sana huko mbele aibu itatokea...Mimi si tu kwamba ninatathmini mchezo wa soka kwa umahiri ninazichambua timu kutokana na mechi zinazocheza.....nilisema kuwa Yanga inahitaji kuiiga Simba kutafuta Kocha Msaidizi kutoka Ulaya au Hata Amerika Kusini au Asia au Hata Africa mwenye viwango vya FIFA....ili wachezaji waongezewe mbinu katika mashindano.....Bado Yanga wana wachezaji wazuri lakini soka wanalocheza watapata tabu wakicheza na timu zenye mbinu za kubadilisha mchezo haraka.....kwahiyo hili la kubadilisha au kuliimarisha benchi la ufundi haliepukiki
ReplyDeleteSioni uhusiano wa ujenzi wa uwanja wa Simba na benchi la ufundi la Yanga!!!
DeleteJiulize pia ukishinda mechi za kirafiki unapata pointi ngapi na zinakusaidiaje kama mwalimu.Mechi za kirafiki zinatumika kujua uwezo wa wachezaji wote ili wanaofanya vizuri waingizwe kwenye first eleven.
ReplyDelete