Kikosi cha simba kilichotambulishwa kwa mashabiki jana uwanja wa Taifa mbele ya mashabiki waliofika kwenye Tamasha la SportPesa Simba Wiki.
Rashid Juma
Aliy Salim
Yusuph Mlipili
Mzamiru Yasin
Hamis Ndemla
Mohamed Hussen
Jonas Mkude
Kenedy Juma
Miraj Athuman
Haruna Shamte
Hassan Dilunga
Shomari Kapombe
Aish manula
Pascal Wawa
Santos Da Silva
Tairon da Silva
Gerson Fraga
Beno Kakolanya
Deo Kanda
Clautos Chama
Gadiel Michael
Erasto Nyoni
Medie Kagere
Shiboub
Fransis Kahata
John Bocco
Ibrahm Ajibu `
Ukiangalia Simba sio timu ya mchezo mchezo kwa si majina tu bali hata uwezo wao uwanjani. Kwa kiwango walichoonesha power Dynamo kwa Yanga ile niliyoiona juzi pale Taifa hapana shaka inachapwa bila ya kumumunya maneno.Bila ya kusahau Simba ni hatari ziadi kipindi cha pili.
ReplyDeleteSIMBA ni next level.Kila mtu aliye na akili timamu anaelewa hivyo.
ReplyDeleteYes This Is Simba Sc We Play Like Barca And It Is True That It Is Next Level
ReplyDelete