KABLA HATA HAJAANZA KAZI YANGA, NUGAZ AMZUNGUMZIA MANARA KWA NAMNA HII - VIDEO
Mwanachama na Shabiki wa Yanga Antonio Nugaz leo amerudisha fomu ya usemaji wa Yanga ikiwa na viambatanisho vyote ambavyo ameambiwa vinahitajika.
Nugaz amesema endapo atakua msemaji wa Yanga ataenda kufanya kazi yake na sio kushindana na mtu kusema Yanga ni Timu kbwa na itafanya mapinduzi ya Aina yake katika Ligi ya Mabingwa.
Amakweli Yanga ni timu ya kiswahili, ya hapa hapa.
ReplyDelete