KIKOSI cha KMC leo kimeibuka kidedea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya Kariobang Sharks uliochezwa uwanja wa Uhuru.
Ofisa Habari wa KMC, Anwar Bide amesema kuwa ni mwanzo mzuri kwao kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya AS Kigali utakaochezwa Agosti 10.
"Ulikuwa ni mchezo mgumu na wenye ushindani ila mwisho wa siku tumeibuka na ushindi wa mabao 2-1 ni mwanzo mzuri kwetu kwa ajili ya michezo yetu ya kimataifa na tuna imani ya kufanya vizuri," amesema.
Mabao ya KMC yamepachikwa kimiani na Serge Nogues pamoja na Vitalis Mayanga.
Jionee Fupa lililomshinda Fisi limeliwa na Nani?
ReplyDeleteTena sio kumshinda fisi. Fisi alipewa msaada.Kelele nyingi. Migongo wazi watakuwa wa 4 wakijitahidi sana.
ReplyDeleteDuh mfupa uliomshinda mwananchi! Bingwa wa historia....mfyuuuuuu!
ReplyDeleteNdio ukicheza na Moro Rangers na Moro kids halafu unafunga zaidi ya saba eti unajidai!
Kwasababu Fisi alikikita kuvunja vifupa vya vifaranga vya wiki mbili huku vikisifiwa au kujisifu Kwa ushindi mnono na lilipokuja Fupa la ndama ndio yakwa hayo na bado sifa zikaedelea
ReplyDeletemkiibeza yanga muwakumbuke everton
ReplyDeleteJamani nao ni binadamu walichoka da we kucheza leo na kesho, nasi kwamba kmc wanauwezo kuwazid kariobangs
ReplyDelete