Kikosi cha Azam FC kimecheza jumla ya mechi tano na kimeshinda mara moja tu mbele ya Yanga na kutwaa ngao ya jamii.
Leo Azam FC inamenyana na Simba uwanja wa Taifa ikiwa ni mara ya sita na endapo itatwaa ngao ya jamii itaweka rekodi ya kutwaa mara ya pili na kushiriki mara nyingi zaidi.







0 COMMENTS:
Post a Comment