August 1, 2019

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' jana imekwea pipa na kuwasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya COSAFA inayotarajia kuanza Agosti mosi.


Kwa sasa kikosi kipo nchini Afrika Kusini kikiwa na wachezaji 20 baada ya 10 kupigwa panga na Kocha Mkuu Bakari Shime.

Hawa hapa panga limewahusu kwa kikosi cha Tanzanite:-

1. Adija Thadeo ( Tanzanite)


2. Neema Charles ( Panama)


3. Lucia Sabasi ( Panama )


4. Dotto Tossy ( Simba)


5.Zena Shaban ( Evergreen)


6.Rukia Hussein ( Tanzanite)


7.Wema Richard ( Mlandizi )


8.Herieth Shija ( Marsh)


9.Faraja ( Simba Queens )


10. Masha Omary ( Mlandizi Queens)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic