KLABU ya Juventus imekasirishwa na maamuzi ya Kocha wao, Maurizio Sarri kukataa kuacha kuvuta sigara licha ya kusumbuliwa na ugonjwa wa mapafu.
Sarri mwenye umri wa miaka 60 amekosa mechi mbili za timu yake lakini hajawa tayari kuacha kuvuta Sigara.
Inaelezwa kuwa kocha huyo wa zamani wa Chelsea ana uwezo wa kuvuta sigara 80 kwa siku.
0 COMMENTS:
Post a Comment