TFF YAITAKA SIMBA KUWASILISHA RIPOTI YA VIPIMO VYA AFYA Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitaka klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na la Pilikuwasilisha ripoti kamili ya vipimo vya afya.
Klabu zote au Simba?Wacheni ukanjanja.
ReplyDeleteHahaha dah yani ilimrad habar iuze t...hivi hizi taaluma mmesomea au mmeshikwa na ndugu zenu
ReplyDelete