August 6, 2019


MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi chake kwa sasa kimetengamaa hivyo hana mashaka na ushindani wa msimu ujao pamoja na mechi za kimataifa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Zahera amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa jeuri ya kupata matokeo chanya ni upana wa kikosi chake kwa sasa.

"Kikosi changu kwa sasa kina wachezaji makini ambao wanajuhudi wakiwa uwanjani, nina imani msimu ujao tutakimbizana sana na wapinzani wetu bila kuchoka.

"Kila mmoja anapenda kuona kikosi kikifanya vizuri ila haina matatizo ndivyo itakavyokuwa kwani wote wana morali ya kufanya kazi," amesema. 

Nyota wapya ambao wamesajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao ni pamoja na Patrick Sibomana, Juma Balinya, Mapinduzi Balama, Ally Ally na Maybin Kalengo.

7 COMMENTS:

  1. kiukweli kuna utofauti mkubwa wa vikosi ukilinganisha kikosi cha msimu ulioisha na cha msimu huu walau kinaweza kuleta ushindani.

    ReplyDelete
  2. Yanga msimu huu hana timu Kelle tu.

    ReplyDelete
  3. Walau is the key word.Watashindana lakini hawatashinda.Nafasi ya 3 ya 4 inawahusu.

    ReplyDelete
  4. Wapi Bana si tunaambiwa kuwa Fupa lilowashinda mabingwa WA jadi si limevunjwa
    na KMC vitoto vya juzi vilivoshiah Dar Salam wala hapo Morogoro hawajafikam tena huo ukali wao uliopo uwapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. umemsikia kocha, amekwambia kikosi walichocheza KMC ni tofauti na kilichocheza na Yanga. Tatizo mbumbumbu fc mnateseka sana

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic