August 7, 2019


MCHEZO wa kirafiki kati ya Mlandege na Yanga FC umemalizika visiwani Zanzibar na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Patrick Sibomana dakika ya 26, Juma Balinya dakika ya 36, Sidney Urknob dakika ya 42 na Mrisho Ngasa dakika ya 65 bao la kufutia machozi kwa Mlandege limefungwa dakika ya 88 na Hassan.

Huu ni mchezo wa kwanza kati ya miwili ambayo Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera anataka timu icheze kwa ajili ya kusuka kikosi cha maangamizi Jumamosi uwanja wa Taifa dhidi ya Township Rollers.

3 COMMENTS:

  1. Tutaraji Kwa idadi ya magoli kama hayo ichapwe timu ya Botswana nasi mashabiki tufulahi

    ReplyDelete
  2. means goli moja la mlandege hujaliona ee

    ReplyDelete
  3. Kaka huo ni unafiki na unafuatiliaga mjchezo IPI unatoa taarifa za Kongo yanga imeshinda 4-1 hebu angaliaga nyinyi wapotoshaji sana wa watu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic