KAMPUNI ya SportPesa kwa kushirikiana na Simba SC leo imetembelea baadhi ya vituo vya soka na kugawa vifaa vya michezo kwa timu.
Jumla ya vituo vitatu vimenufaika na mpango huu ambao lengo lake ni kukuza soka la ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na:
Green Warriors - Mwenge
Boom FC - Bungoni
Tandika Rangers – Tandika
0 COMMENTS:
Post a Comment