USHAURI MECHI YA CAFCL YANGA VS ZESCO ( UWANJA WA TAIFA)
Yanga mnatakiwa muirudishe ama muunde au muanzishe kamati ya hamasa ambayo itazunguka mikoani kuhamasisha wanayanga kuja kuipa nguvu timu na kuujaza Uwanja wa Taifa siku ya mechi dhidi ya Zesco.....uwanja mzima uwe njano na kijani....kama mlivyofanya siku ya kilele cha wiki ya mwananchi....
Kwanza, kampeni hii ianze sasa msisubiri siku 3 mpaka 4 uwanja utakuwa na mapengo na ticket zianze kuuzwa wiki 1 kabla ya mechi.....watu wa mikoani waanze utaratibu wa kujipanga kuja Dar Es Salaam.....hii ni moja ya mechi ngumu sana kwa Yanga lazima wananchi waungane na Yanga wote wawe wamoja na Taifa na serikali itaongeza nguvu kwani uwanja ukijaa itasaidia kuwapa morali wachezaji kujituma
Pili, Uongozi ulisaidie benchi la ufundi pia itoe motisha kwa wachezaji na kuongeza posho kabla la mechi
Maandalizi yaanze maramoja na mipango hiyo niliyoitaja Ianze haraka.....sio maneno maneno ni vitendo vinatakiwa....na utekelezaji wa hayo niliyoyataja hapo juu
UKIMALIZA KUSOMA TAFADHALI FIKISHA UJUMBE HUU MUHIMU KWA VIONGOZI WA YANGA KWA NAMNA YEYOTE ILE
Papaaaa manung'unikooo... umesajili wachezaji 30, hao wengine walikuwa wapi wasicheze mechi ya jana? umesahau Simba walicheza mechi kila baada ya masaa 24? Huna jipya, ngoja uchezee kichapo kingine na ulete sababu nyingine..Kufundisha mpira kumekushinda..Unalo hilo...
Hayo tulikuwa tukiyangoja. Basi Ni bora aridhishwe yeye anavotaka isiwe kama vile Simba ilivocheza mechi zake za kiporo ambapo hatukuisikia Simba ikilalamika hata mara moja
USHAURI MECHI YA CAFCL YANGA VS ZESCO ( UWANJA WA TAIFA)
ReplyDeleteYanga mnatakiwa muirudishe ama muunde au muanzishe kamati ya hamasa ambayo itazunguka mikoani kuhamasisha wanayanga kuja kuipa nguvu timu na kuujaza Uwanja wa Taifa siku ya mechi dhidi ya Zesco.....uwanja mzima uwe njano na kijani....kama mlivyofanya siku ya kilele cha wiki ya mwananchi....
Kwanza, kampeni hii ianze sasa msisubiri siku 3 mpaka 4 uwanja utakuwa na mapengo na ticket zianze kuuzwa wiki 1 kabla ya mechi.....watu wa mikoani waanze utaratibu wa kujipanga kuja Dar Es Salaam.....hii ni moja ya mechi ngumu sana kwa Yanga lazima wananchi waungane na Yanga wote wawe wamoja na Taifa na serikali itaongeza nguvu kwani uwanja ukijaa itasaidia kuwapa morali wachezaji kujituma
Pili, Uongozi ulisaidie benchi la ufundi pia itoe motisha kwa wachezaji na kuongeza posho kabla la mechi
Maandalizi yaanze maramoja na mipango hiyo niliyoitaja Ianze haraka.....sio maneno maneno ni vitendo vinatakiwa....na utekelezaji wa hayo niliyoyataja hapo juu
UKIMALIZA KUSOMA TAFADHALI FIKISHA UJUMBE HUU MUHIMU KWA VIONGOZI WA YANGA KWA NAMNA YEYOTE ILE
Ahsante
Hata mjsze uwanja.Jws mpira huu kichapo lazima .
ReplyDeletePapaaaa manung'unikooo... umesajili wachezaji 30, hao wengine walikuwa wapi wasicheze mechi ya jana? umesahau Simba walicheza mechi kila baada ya masaa 24? Huna jipya, ngoja uchezee kichapo kingine na ulete sababu nyingine..Kufundisha mpira kumekushinda..Unalo hilo...
ReplyDeleteHayo tulikuwa tukiyangoja. Basi Ni bora aridhishwe yeye anavotaka isiwe kama vile Simba ilivocheza mechi zake za kiporo ambapo hatukuisikia Simba ikilalamika hata mara moja
ReplyDelete