DANTE HAJALIPWA MILIONI ZAKE 45 YANGA
Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' ameibuka na kusema anaidai klabu yake kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania, imeelezwa.
Dante ambaye hayuko na kikosi cha Yanga kwa muda mrefu sasa ameamua kufunga kutokana na ukimya wake ikiwa hajajiunga na timu tangu kuanza kwa msimu huu.
Beki huyo likuwa ni mongoni mwa wachezaji waliogoma hapo awali kati yake na Juma Abdul sambamba na Kelvin Yondani ingawa wenzake tayari walishajiuna=ga na timu.
Abdul na Yondani wlaijiunga baada ya kuelewana na Yondani lakini Dante haijajulikana zaidi tatizo lipo wapi.
Haijajulikana ni lini Yanga na Dante watamalizana ilihali tayari msimu mpya umeshaanza.
Aya vyura hivi lile kapu mlilotembeza kweli mmeshondwa kumlipa huyu ambeye jasho lake limemwagika.Kweli wabongo ni shida hivi mnasubutu kuwalipa hao wageni wapya na huyu mzalendo mnamuacha aiingii akilini
ReplyDeleteZitakuwa zimeshaliwa.Kuna mmoja ana kitambi kama pipa. Unafikiri anakula kilo ngapi?
ReplyDeleteHii ni hatari na aibu kubwa kwa timu ya wananchi kushindwa kumlipa mchezaji mwananchi inalipa uchafu unashindwa kutengeneza matokeo chanya kwa kila mechi!!?
ReplyDeleteMagazeti yetu kama kawaida yao kuleta chokochoko ...Juuko Murshidi anaidai Simba lakini hawaendi kumuhoji ila Dante kwa Yanga anahojiwa na habari inawekwa kwenye headline
ReplyDelete