September 8, 2019


Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa wachezaji hao wawili Molinga na Selemani wamewaandalia mgao wa Shilingi 100,000.

Mgao huo wataupata  kuptia fedha itakayoingia ndani ya klabu kupitia Caf kutokana na kukosa mechi ambazo walipaswa kucheza katika mashindano hayo.

“Wachezaji hao ambao hawatacheza Caf tunawapatia 100, 000 kila wiki.

"Lengo ni ili wasiwe wapweke baada ya kukosa mashindano hayo makubwa Afrika ambao ni Molinga na Selemani.

3 COMMENTS:

  1. Kwanini msiwalipe wachezaji wanaodai nyie viongozi ndio mnaleta makundi na migogoro

    ReplyDelete
  2. Sijaelewa viongozi! Molinga ni mchezaji mwenye kiwango gani mpaka alipwe pesa bila kucheza? Viongozi msitukere kwa hili.

    ReplyDelete
  3. Mhhh hata mm cjaelew kabisa kuhusu kuwalipa hiyo fedha halaf kila wiki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic