Mwananchi Tunaposema Sisi ni #YoungAfricans tunashinda popote Barani Afrika, tunamaanisha na hii haikuanza jana wala juzi na tuna nia ya dhati ya kuendeleza rekodi hii.
Mashindano ya CAF, tulishazifunga timu hizi nyumbani kwao: 2002 - tuliwafunga Highlanders kwao Zimbabwe 0-2, 2016 - APR ya Rwanda 1-2, 2019 - Township Rollers ya Botswana 0-1
Lakini pia tulishapata sera ya kuanzia 2-2 ugenini: Coffee (Ethiopia) 2 vs 2 Yanga mwaka 1998, pia Rayon sports(Rwanda) 2 vs 2 Yanga 1998
Kombe la Afrika mashariki na Kati (Fainali): Villa sports club (uganda) 1 vs 2 Yanga 1993,
Villa sports club (uganda) 1 vs 1 Yanga 1999 dk 120, Yanga alishinda kwa penalty 4-1
#MsemajiKasema: Yanga ndio timu pekee Tanzania kuwahi kuchukua kombe nje ya nchi imefanya hivyo mara mbili
Ni jukumu la kila Mwananchi kwa umoja wetu kuendeleza dua na sala kwa timu yetu pendwa ili kuendeleza rekodi yetu ya ushindi ugenini na hatimaye kufuzu hatua ya makundi.
Kutoka Young Africans
Mtafuta sana lakini ukweli nu kwamba tujulisheni pia timu iliyofungwa goli nyingi nje.Rekodi ni 6 mtungi Yanga dhidi ya Raja Casablanca.
ReplyDeletemkiwa na timu bora mlipigwa khamsa misri na mkapigwa khamsa congo tena
ReplyDeletekwa kipindi cha mwezi tu !! bado unataka kutamba !!
Na mkachapwa sita sufuri hapa nyumbani sisemi na na nani na ni hivi karibuini yu juu ya kufungwa tano huko Misri na kwengineko lakini myama allizifunga timu kali kwa mabao mengi nyumbani na ugenini na kufika walipofika na ndio sababu Leo hii. mmepata fursa ya kufika Zambia bila ya kumwaga jasho kwahivo mumshukuru mnyama badala ya kejeli chapwa na msimu huu ndio mnamuona mnyama anavokata mbuga hapa nyumbani anakungojeeni kwa hamu kubwa iwe kwa misimu mitatu mfululizo.
ReplyDeleteFikeni alipofika Simba ndio muanze kutamba. Hiyo tiketi aliyokukatia mumeo ili uwakilishe viti maalum. Baada ya kutamba kuwa na shukurani.Safari inakwisha kesho.Mrudi kwenye kombe la shirikisho ambalo mtatolewa mapema .Hamna hata goli la Open play mpite wapi.Tatu mzuka inawahusu.
ReplyDeleteSimba yenu kumbe ilivyotolewa na ud songo ilipata goli la open play?! fikiri kabla ya kusema
DeleteMechi moja. Yanga mechi hata mechi moja hamjafunga goli la open play katika michezo mitatu. Yanga hangaikeni na yenu .Safari itaishia kwa aibu.
ReplyDeleteEnter your comment...Kweli nimeamini mtu akikwambia akili zako kama mshabiki wa yanga rusha ngumi nyingi sana,mi nashangaa mnaobishana nao hao vyura angalia CAF clun rankings ndio utanielewa nazungumzia nini
ReplyDelete