KEJELI ZA HAJI MANARA KWA YANGA KISA ZESCO UNITED - VIDEO Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, alivyoamua kuwakejeli watani zake wa jadi yanga kufuatia kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco United ya Zambia kwa kufungwa mabao 2-1.
0 COMMENTS:
Post a Comment