September 15, 2019

7 COMMENTS:

  1. hao sio watz.wazambia wanawacheka sana.watz mambumbu sana hatutofika mbali mpaka tuache ujinga wetu

    ReplyDelete
  2. hii yote inatokana watz wengi hatuna elimu ya kutosha.vichwa vimejaa maji na matope.inasikitisha sana mpaka wegine kubeba bendera ya zambia wanashangilia

    ReplyDelete
  3. Acheni wivu na roho mbaya...Wakishangilia Yanga sawa Ila Simba sio sawa.. Nyambafu... Pambaneni na Hali yenu Vyura fc

    ReplyDelete
  4. Ukitizama utaona tumeanza kuvunjika moyo na timu yetu. Idadi ya mahuzurio ukilinganisha na hapo mwanzo Ni madogo na mashabiki hawakutimiza wito WA kuujaza uwanja mapema ili hawa watani wetu tusiwape nafasi ya kuppata pa kukaa wasipate Ni zaifu na ndio wakajazana na kututesa. Timu ipo hofyo na wengi tumeshaanza kumzarau huyu Kocha tulienaye

    ReplyDelete
  5. Kwa timu zenye Uzoefu wa CAF mfano TP Mazembe, Zesco, Al Ahly na Esperance usitegemee hizo timu hazitajipanga na kutumia uwanja wao wa nyumbani vizuri...........Kocha kashawateka na kuziiba akili za wanayanga....itachukua muda kumgundua.....Tatizo sio wachezaji tatizo ni mbinu walizofundishwa ili wafunge magoli....hili ndio tatizo. Forward ya Yanga ni nzuri ila tatizo ni namna wanavyofundishwa ili wapate mabao hiyo ndio shida.....ukitaka kujua mpeni Patrick Aussems forward hii hii uone kama hawatafunga?

    ReplyDelete
  6. Duu! Sisi watanzania tuna matatizo ya usahaulifu! Sasa kama hawa wa jana sio watanzania kisa kuishangilia Zesco ni wa utaifa gani sasa!? Na je wale waliokuwa wakiishangilia UD Songo nao ni wa nchi gani wale! Mlipofanya ninyi mlifurahi, sasa jana mmefanyiwa ninyi mnatokwa na mapovuuuuuuu!!!!! Kwani sio ninyi ambao mlianzisha usemi kuwa UZALENDO MWISHO AZAM????. Leo mnalalama nini sasa!!! Mkaja uwanjani na vipensi vyenu kuonyesha mahaba yenu na Zahera wenu, baada ya mechi mnamzodoa, kweli hamna jema. Kubalianeni tu na hali yenu.

    ReplyDelete
  7. Wanayanga wameumia kweli....sasa sina sababu ya kuwalaumu kwanini wanakuwa baridiiii....Timu inawaangusha....yaani watu wanajitokeza kwenye mechi na matokeo mfukoni na wakiwa wanajiamini mno na Kocha wao anawaaminisha ushindi mwisho wa siku sare au kufungwa....ule utamaduni wa Yanga (umoja wa kuhakikisha mechi Inachezwa nje ndani haupo)....kuna sehemu au kuna kitu hakipo sawa tatizo haijulikani ni kitu gani hicho au sehemu ipi inaleta "nuksi".....Nilisema na nitaendelea kusema kama hakuna mabadiliko katika ufundishwaji......MAUMIVU YATAENDELEA KWENYE MECHI ZILIZOBAKI WAKIANGUKIA KWENYE KUCHEZA MTOANO ILI KUFUZU CAF FEDERATION CUP NA HATA KWENYE LIGI.....TATIZO HAMTAKI KUCHUKUA HATUA.....SASA MSISEME HATUJAWAAMBIA!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic