September 29, 2019





FT: Biashara United 0-2 Simba

Goal : Miraj Athuman dk ya 54
Goal: Meddie Kagere dk ya 22

Uwanja wa Karume

Dakika ya 83 Miraj anatoka anaingia Deo Kanda.

Dakika ya 77 Ajibu anatoka anaingia Sharaf Shiboub kwa Simba.

Dakika ya 73 Ramadhan Chombo anaingia anatoka Mussa Khamis kwa Biashara United.

Dakika ya 72 Simba wanafanya mabadiliko anatoka Hassan Dilunga anaingia Francis Kahata.

Dakika ya 51 Biashara United inafanya mabadiliko kwa kumtoa Victor Hangaya anaingia Jerome Lembele

Mpira kwa sasa umekamilika, Biashara United imepoteza mbele ya Simba uwanja wa Karume, Mara.


Mashabiki wengi wamejitokeza uwanjani leo kuona mtanange huu wa kukata na shoka.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic