LWANDAMINA ATAMBA KUIFUNGA YANGA - VIDEO Kocha Mkuu wa Zesco United, George Lwandamina amesema atatumia ubora wa timu yake dhidi ya Yanga na ana matumaini ya ushindi katika Uwanja wa Taifa jijijni Septemba 14, 2019.
0 COMMENTS:
Post a Comment