MTANGAZAJI BBC ATEULIWA KUWA BALOZI WA SIMBA LONDON
Bodi ya Wakurugenzi imemteua Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Salim Kikeke kuwa Balozi wa Simba Sports Club wa mji wa London, Uingereza.
Pichani Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji akimkabidhi jezi ya Simba Balozi mpya wa Simba SC wa mji wa London, Salim Kikeke.
Igeni na hapo
ReplyDeleteSafi kabisa big upo MO.
ReplyDelete