September 30, 2019


Straika wa timu ya Yanga, Mnamibia, Sadney Urikhob ameendelea kuwa na ukame wa mabao tangu asajiliwa ndani ya klabu hiyo.


Urikhob tangu atue Yanga kalba ya juzi Jumamosi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco United alikuwa ameingia dimbani mara mbili.


Bao lake dhidi ya Zesco limefanya afikishe idadi ya kuwa na mamabo matatu mpaka sasa, kitu ambacho kinaonesha bado ana ukame.


Akiwa anatumia jezi ya mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Mrundi, Amis Tambwe, Urikhob hajabahatika kucheka na nyavu mara nyingi kama ilivyokuwa kwa Tambwe.


Jezi hiyo yenye namba 17, imebahatika kuwa na ufungaji bora ikivaliwa na Tambwe katika misimu miwili tofauti wakati ikiwa Simba na halikadhalika Yanga 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic