September 30, 2019

4 COMMENTS:

  1. Na wewe unawaiga watani kwa malalamiko tasiyokeisha. Timu ambayo ipo mkiani ulikuwa unataraji nini.

    ReplyDelete
  2. washabiki wa mikoani wanashida moja...shida ya kutumikia timu za mikoa mingine. Wajiulize ikishuke hiyo timu je utaweza kuiona unayoishabikia tena???

    ReplyDelete
  3. Yanga juzi Ndola walibebwa sana basi tu hawabebeki wakaamua kujitungua wenyewe

    ReplyDelete
  4. Hata nyie vijana wa maendeleo mnashabikia timu yenu nä inajulikana. Wacheni unafiki. Kushabikia timu ni jambo la hiari huwezi kulazimisha. Wengi wanashabikia timu za nje ni haki yako.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic