September 20, 2019


Mbwana Samatta wiki hii aliweka rekodi kadhaa baada ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Huyu ni Mtanzania wa kwanza kucheza michuano hiyo mikubwa zaidi Ulaya kwa uapnde wa klabu.

Awali Samatta alifanikiwa kucheza klabu Bingwa Afrika amecheza kombe la Europa amecheza kombe la mataifa Afrika, ligi kadhaa na sasa amebakiza kombe la Dunia na klabu Bingwa Duniani pekee awe amecheza karibia michunao yote mikubwa duniani.

2 COMMENTS:

  1. Club bingwa duniani c alicheza akiwa mazembe Wewe?

    ReplyDelete
  2. Club bingwa duniani c alicheza akiwa mazembe Wewe?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic