Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Ofisa Habari wake Haji Manara, umewataka mashabiki wake kuipa sapoti Zesco United watakapocheza dhidi ya Yanga kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
tatzo msemaji wetu manara mwenyewe kwa mdomo wake "nanukuu"alisema "hakuna kitu kigumu duniani kama kuitakia yanga mazuri" aliirudia kauli hii mara mbili mbele ya waandishi wa habari" kama uongo muniambie.sasa kwa hali hii yeye altegemea nn? inatakiwa asiwe mropokaj mbona wa yanga na azam wapo kmya? hakuna tuzo ya kusema sana duniani.
Ningependa kutoa ushauri ufuatao: 1. Kufanya UHARAKA katika utekelezaji wa mambo mengi mfano UKARABATI NA UJENZI WA JENGO LA KLABU NA UWANJA WA MAZOEZI....KUMEKUWA NA AHADI NA UZITO WA KUFANYA UJENZI.... 2. KUFANYA HARAKA UJENZI WA MRADI WA KIGAMBONI YANGA COMPLEX....KUMEKUWA NA UZITO NA KUSUASUA 3. Uhamasishaji kuelekea mechi ya tarehe 14 uanze sasa hivi...kumekuwa na siasa na ahadi bila ya vitendo 4. Uingizaji ama uandikishaji wa wanachama na wapenzi wapya wa Yanga nchi nzima umebaki kuwa mipango tu hakuna utekelezaji 5. Kubadilishwa kwa mfumo wa uendeshaji kutoka umiliki wa 100% kwa wanachama na kuingia soko la hisa (51% wanachama , 49% wawekezaji wasiopungua 3)...utekelezaji umekuwa mdogo ama unasuasua au hautangazwi kuujulisha umma ulipofikia na kwanini auendelei?
Ndugu mwandiishi uwe makini. Hii si kauli ya Simba, kauli ya Simba inatolewa kwenye pages za Simba, hii ni kauli ya Manara tafadhali uombe radhi Uongozi wa Simba, hakuna page ya Simba iliyotoa kauli hii.
Simba walihitaji tuwashabikie pale walipokua wana mechi na timu za nje na baada ya kutolewa na wamakonde ndio wameamua kuutangazia umma wasiishangilie Yanga na usishangae mwakani wakasema turudishe tena uzalendo . kwa hiyo walikua hawana uzalendo maana mzalendo habadilliki
Wapuuzi wachache wanasahau utaifa,yes simlikua mnaishangilia ud songo?haya sasa mtakoma kwenda uwanjani.
ReplyDeletendo aibu tmu ya nje unayoishainglia ikamenywa.
ReplyDeletetatzo msemaji wetu manara mwenyewe kwa mdomo wake "nanukuu"alisema "hakuna kitu kigumu duniani kama kuitakia yanga mazuri" aliirudia kauli hii mara mbili mbele ya waandishi wa habari" kama uongo muniambie.sasa kwa hali hii yeye altegemea nn? inatakiwa asiwe mropokaj mbona wa yanga na azam wapo kmya? hakuna tuzo ya kusema sana duniani.
ReplyDeleteManara ni ulimi ndala
ReplyDeleteNingependa kutoa ushauri ufuatao:
ReplyDelete1. Kufanya UHARAKA katika utekelezaji wa mambo mengi mfano UKARABATI NA UJENZI WA JENGO LA KLABU NA UWANJA WA MAZOEZI....KUMEKUWA NA AHADI NA UZITO WA KUFANYA UJENZI....
2. KUFANYA HARAKA UJENZI WA MRADI WA KIGAMBONI YANGA COMPLEX....KUMEKUWA NA UZITO NA KUSUASUA
3. Uhamasishaji kuelekea mechi ya tarehe 14 uanze sasa hivi...kumekuwa na siasa na ahadi bila ya vitendo
4. Uingizaji ama uandikishaji wa wanachama na wapenzi wapya wa Yanga nchi nzima umebaki kuwa mipango tu hakuna utekelezaji
5. Kubadilishwa kwa mfumo wa uendeshaji kutoka umiliki wa 100% kwa wanachama na kuingia soko la hisa (51% wanachama , 49% wawekezaji wasiopungua 3)...utekelezaji umekuwa mdogo ama unasuasua au hautangazwi kuujulisha umma ulipofikia na kwanini auendelei?
Ahsante
Ndugu mwandiishi uwe makini. Hii si kauli ya Simba, kauli ya Simba inatolewa kwenye pages za Simba, hii ni kauli ya Manara tafadhali uombe radhi Uongozi wa Simba, hakuna page ya Simba iliyotoa kauli hii.
ReplyDeleteKaka hiyo ni kauli ya Simba ona Picha na Nembo za club yako
DeleteSimba walihitaji tuwashabikie pale walipokua wana mechi na timu za nje na baada ya kutolewa na wamakonde ndio wameamua kuutangazia umma wasiishangilie Yanga na usishangae mwakani wakasema turudishe tena uzalendo .
ReplyDeletekwa hiyo walikua hawana uzalendo maana mzalendo habadilliki
Achana na hao vyura maana wanaongea Sana Simba kutolewa
ReplyDelete