WATU WAENDELEA KUCHOTA MIKWANJA YA MAANA KUTOKA SPORTPESA BONGO Mshindi wa Jackpot Bonus Barikiwa Akson Kasekwa akikabidhiwa hundi ya shilingi 7,187,699/= mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tarimba Abbas.
0 COMMENTS:
Post a Comment