HAJI MANARA ASHINDWA KUJIZUIA, AIBUKA TENA NA MENGINE JUU YA MAKAME KUJIFUNGA
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka mengine kuhusiana na suala la mchezaji wa Yanga, Abdulaziz Makame kuhusiana na kujifunga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco United.
Kama Mohammed Hussein Tshabalala...
ReplyDeleteHaji Manara is the king of Africa.He knows how to speaks and how to frusturate other side.Keep it up Brother
ReplyDeletekama anavyosema yeye Manara kua waongeaji wa Yanga waiongelee Yanga na Sio Simba au
ReplyDeleteHaji Manara basi ingekua busara kwake pia aongelee wachezaji wa Simba na sio kujaribu kuongea kwa ushawishi ili mchezaji ajiunge na Simba kama alivyokua akimshawishi Ajibu !!