HARMONIZE AWAKERA WANAHABARI KENYA, WASEMA ANA DHARAU KUBWA
Wanahabari wa nchini humo, wamekasirika baada ya Mwanamuziki kutoka Tanzania, Harmonize kuwapa dakika 3 za mahojiano
Mwanamuziki huyo aliyeachia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la "Uno" anafanya ziara kwenye vituo vya redio na televisheni kwa nchi 3 za Afrika Mashariki
Mahojiano hayo yalifanyika kwa haraka licha ya kuwa yameahirishwa mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali
Mwanamuziki huyo alifika katika ukumbi wa kuzungumza na Wanahabari akiwa ameongozana na walinzi wake waliowasukuma watu
0 COMMENTS:
Post a Comment