LIL NAS NA CARDI B WASHTAKIWA KWA KUIBA WIMBO
Lil Nas X na Cardi B wameshitakiwa na prodyuza Brandon Lee, ambaye anasema wimbo wao ‘Rodeo’ ni mfano wa kazi yake.
Lee amesema aliandika wimbo huo ambao uliachiwa kwa jina la Broad Day, lakini kitu cha ajabu alikuja kuusikia kwa wawili hao wakiwa wameutumia bila kumpa heshima ya anachostahili.
Usiandike habari kama kila mtu anajua ulichoandika, huyo Lil Nas X ni nani, anatoka nchi gani na huyo producer wa nchi ipi. Habari ikiwa imekamilika, inakosa viulizo
ReplyDelete