SIMBA YAJA NA MAAMUZI MAGUMU JUU YA BAJETI YAKE, MISHAHARA YA WACHEZAJI KUANGALIWA
Taarifa zilizopo zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Ofisa Mtendaji wake mpya, Senzo Mazingiza, upo kwenye mkakati wa kubana matumizi ya fedha.
Imeelezwa kubwana kwa matumizi hayo kutatokana na kuangaliwa upya kwa mishahaya ya baadhi ya wachezaji na posho zisizo za lazima.
Mbali na posho pamoja na mishahara hiyo, taarifa pia imeeleza Simba watapunguza bajeti ya kukodi viwanja vya kufanyia mazoezi kwa kutumia ule wa Bunju ambao unaelekea kukamilika hivi sasa.
Simba inaweza kuanza rasmi mazoezi yake Bunju katikati mwa mwezi Oktoba mwaka huu ambao upo katika hatua za mwisho kukamilika.
Aliyaweza MANJI tu!
ReplyDeleteHalafu zikaishia vipi?Simba inaendesha timu,kisasa .Yanga chini ya Manji ilifanya nini kimaendeleo?Wajinga wanasifia kutumia tu oesa bila mipango .Unanikumbusha wachimbaji tanzanite tumia tu kuwa kwaja.Mwisho wake unakuwa teja.Huwezi linganisha matumizi madhubuti nä ufujaji wa kiteja.Mwisho lazima ufeli.
ReplyDeleteWewe kweli ni kuma
ReplyDeleteumekamatwa
DeleteKutukana ni undezi tu.Jibu hoja kwa hoja.
ReplyDelete