TUMECHOKA NA POROJO NA SIASA BILA YA VITENDO....KAMATI ZIMEZIDI HAKUNA VITENDO WHY????????
🚫 Maswali ✔ Kwanini kuna kusuasua na kujivutavuta kuingia katika Uwekezaji na Mabadiliko katika Yanga huku kukiwa kushindwa Kamati lukuki zilizo leta mabadiliko au kufanya Vitendo vinavyoonekana?
✔ Je, Viongozi wana nia ya dhati ya kuiinua Yanga kiuchumi? Kama wanayo mbona mchakato wa mabadiliko unachelewa?
✔ Je, Kama hauchelewi na kama haurakishwi kwanini kuna kilio cha ukata wa fedha na kutaka "KUENDESHA MAMBO KIZAMANI KWA MFUMO WA KARNE YA 19 WAKATI TUPO KARNE YA 21???? Mpira ni Pesa na Matokeo mazuri na uendeshaji wa Timu kwamaana ya Benchi la Bora la Ufundi, Miundo Mbinu Bora, Kambi na Huduma za Wachezaji Bora hutokana na Uwekezaji wa Pesa....kwani Uongozi uliochaguliwa ulisema ndani ya Miezi 3 hadi 6 wataiingiza Yanga katika mabadiliko hili mbona unasuasua???
🚫 Wenu katika kutoa ushauri chanya kwa ajili ya Maendeleo ya Mpira Tanzania!
Uongozi huu hauna tofauti na serikali ya awamu ya tano kwa teuzi zisizoisha
ReplyDeleteDah watu mna maneno
DeleteTUMECHOKA NA POROJO NA SIASA BILA YA VITENDO....KAMATI ZIMEZIDI HAKUNA VITENDO WHY????????
ReplyDelete🚫 Maswali
✔ Kwanini kuna kusuasua na kujivutavuta kuingia katika Uwekezaji na Mabadiliko katika Yanga huku kukiwa kushindwa Kamati lukuki zilizo leta mabadiliko au kufanya Vitendo vinavyoonekana?