KAULI NYINGINE JUU YA AUSSEMS NA SIMBA YATOKA - VIDEO
Wachezaji wa klabu ya soka ya Simba, wameendelea kufanya mazoezi kwa mara ya pili mfululizo bila ya Kocha wao mkuu, Patrick Aussems, ambaye amesimamishwa kazi, huku nafasi yake ikichukuliwa na Dennis Kitambi..
0 COMMENTS:
Post a Comment