NEW Castle United imeonyesha nia ya kutaka kumsaini kwa mkopo kiungo wa Arsenal, Granit Xhaka.
Xhaka aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Arsenal kwa sasa hana nafasi ndani ya kikosi cha kwanza baada ya kuzinguana na mashabiki wa timu hiyo.
AC Milan nao pia hawapo mbali wanaiwinda saini ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 kwa sasa.
Kocha wa Newcastle United, Steve Bruce anasoma upepo kwanza kabla hajatuma maombi ya kumuomba kwa mkopo.
Xhaka hawez kwenda timu Kama hyo pis haondoki Bali tatzo n unai emery
ReplyDelete