MCHEZO wa tano kwa Yanga leo uwanja wa Nangwanda Sijaona Yanga imeshinda bao 1-0.
Bao hilo ni la Free-Kick ya Patrick Sibomana ambayo imezama nyavuni na kuipa Yanga bao la kwanza dakika ya 75.
Mashabiki wengi wamejitokeza kuona mchezo wa leo ambao una ushindani mkubwa huku Boniface Mkwasa akiongoza kikosi hicho kwa mara ya kwanza.
Tuna imani na kocha Mkwasa. Tunategemea ataifikisha Yanga mbali kuliko mwenzake aliyetimuliwa.
ReplyDeleteNi vema kujipa imani na matumaini
Delete