December 15, 2019

5 COMMENTS:

  1. Alivyo kuwa biashara na shinyanga united hakufunga hata zaidi ya magoli 5 . Historia tunayosikia ni yeye kuifunga yanga ligi kuu . atakachofanikiwa ni kuifunga yanga kwa kujifungisha kama wafanyavyo wenzie akina ally ally

    ReplyDelete
  2. Hapa hakuna mchezaji kabisa ila watu wamepiga pesa zao tayari

    ReplyDelete
  3. KWANINI YANGA INATAKIWA IFANYE MABADILIKO KUINGIA MFUMO WA UWEKEZAJI NA UENDESHAJI WA KISASA NDANI YA SIKU 60?
    ❇ Kuimarisha Timu na Kikosi kwa ajili ya Kutoa  Ushindani kwenye mashindano mbalimbali inayoshiriki (Usajili wa Wachezaji Bora ndani na nje ya Nchi, Mishahara Bora, Posho, Kambi Bora, Ujenzi wa Miundo Mbinu Bora na Viwanja vya Mazoezi Bora, Tiba na Lishe za Wachezaji, kubadilisha mfumo klabu kuendeshwa kisasa na kisayansi)
    ❇ Klabu kuwa katika mbio za kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ama FA...ili kupata nafasi ya Kuwakilisha nchi katika mashindano yanayoandaliwa na CAF

    ⛔Sababu zinazokwamisha hayo mawili yasifanyike:
    ❇ Jitihada kutoka kwa Wasio itakia Mema Yanga
    Kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwa maadui wa Yanga (Simba, TFF, Bodi ya Ligi, Mamluki waliopenyezwa kwenye Uongozi Yanga kupitia Kamati zilizoundwa hivi Karibuni, Vyombo Vya Habari, Mitandao ya Habari, Wapenzi wa Yanga wasio waaminifu na wanachama wasio waaminifu wanaorubuniwa)
    ❇ Hawa wanafurahia hali hii iliyopo na mambo yanavyoenda wakiwalisha matango pori wapenzi wenye uchungu na Yanga kwa kuwahadaa na kuwalaghai kuwa mambo ni mazuri tu, wawe na subira vile vile Viongozi waendelee kuwasajili wachezaji wa bei nafuu wasio na sifa za kuichezea Yanga ambao hawana uwezo wa kutoa upinzani uwanjani kwa kuleta ushindi na matokeo chanya. Matokeo yake vyombo vya habari vya mtaani vinaitwa kuzipaisha habari hasi kwa nguvu isiyo ya kawaida!
    ❇ Hawa wangependa Klabu iajiri makocha wa gharama ya chini na kushirikisha wanachama na mashabiki wasio na fikra pevu, endelevu, elimu na uweledi wa hali ya juu kuiendesha klabu...hawa wanafanya hizi fitina za soka kisayansi wakitumia kibwagizo cha wimbo Yanga haina pesa na inashindwa kulipa mishahara ......ukweli ni kuwa dawa ya kupata pesa ni kukaribisha wawekezaji tena haraka na mapema ndani ya siku 60.......
    ❇ Lakini unaposhauri hili la kutafuta njia ya kujikwamua katika hali iliyopo....makundi haya ya watu niliyoyataja hapo juu yanapinga na kutoa sababu ambazo hazina mashiko kwa maslahi yao binafsi...sasa unahoji kama ushabiki wao ni wa dhati ..Je hawa hawaoni uchungu kwa kudhoofika kwa timu? Je, hawa hawataki Yanga ipige hatua ama ni nini? Jibu ni rahisi na haishangazi kuona wanatoa sababu hizi kwakuwa wanatumiwa na klabu ya upande wa pili...na nguvu waliyonayo kiuchumi klabu hiyo ya mtaa wa pili wamesajiliwa kujipenyeza kurubuni makundi hayo niliyoyataja hapo juu ndio sababu hao niliowataja wanatoa kauli hizo...na vyombo vya habari vya mtaani vinaitwa kuzipaisha habari hasi kwa nguvu isiyo ya kawaida!!!...

    ❇ Kama ukichunguza utajua Upande wa pili kwa klabu jirani wanajiapiza kwamba wanauwezo wa kuchukua ubingwa kwa gharama yoyote. Unajiuliza hiki kiburi wamekipata wapi? Je, wanajuaje kama watachukua ubingwa wakati ligi ina mechi 38....na ndio kwanza zimechezwa mechi 13? Labda inawezekana wanasema wana uhakika huo kwasababu ya nguvu ya kiuchumi iliyopo ambayo inatumika kuliimarisha Klabu na pia kuzidhoofisha klabu nyingine zikiwamo hata kuziingilia na kuzirubuni taasisi zinazoendesha soka na timu pinzani aidha kwa njia ya moja kwa moja ama kwa njia za kificho na kisayansi kama ambavyo inafanyika hivi sasa?

    Daima Mbele Nyuma Mwiko!

    Ahsanteni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sidhani kama uliyoyaongea yana ushahidi kama hao viongozi wenu hawaitakii yanga yenu mema ni kwa ajili ya maslahi yao binafsi sidhani kama simba ety wanaweza kuwalipa watu ili kuidhoofisha yanga wakati bajeti yao ina ukosefu wa bilioni moja sjui pesa ya kufanya kitu cha kijinga kama hicho wanatoa wapi

      Delete
    2. KWANINI YANGA INATAKIWA IFANYE MABADILIKO KUINGIA MFUMO WA UWEKEZAJI NA UENDESHAJI WA KISASA NDANI YA SIKU 60?
      ❇ Kuimarisha Timu na Kikosi kwa ajili ya Kutoa  Ushindani kwenye mashindano mbalimbali inayoshiriki (Usajili wa Wachezaji Bora ndani na nje ya Nchi, Mishahara Bora, Posho, Kambi Bora, Ujenzi wa Miundo Mbinu Bora na Viwanja vya Mazoezi Bora, Tiba na Lishe za Wachezaji, kubadilisha mfumo klabu kuendeshwa kisasa na kisayansi)
      ❇ Klabu kuwa katika mbio za kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ama FA...ili kupata nafasi ya Kuwakilisha nchi katika mashindano yanayoandaliwa na CAF

      ⛔Sababu zinazokwamisha hayo mawili yasifanyike:
      ❇ Jitihada kutoka kwa Wasio itakia Mema Yanga
      Kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwa maadui wa Yanga (Simba, TFF, Bodi ya Ligi, Mamluki waliopenyezwa kwenye Uongozi Yanga kupitia Kamati zilizoundwa hivi Karibuni, Vyombo Vya Habari, Mitandao ya Habari, Wapenzi wa Yanga wasio waaminifu na wanachama wasio waaminifu wanaorubuniwa)
      ❇ Hawa wanafurahia hali hii iliyopo na mambo yanavyoenda wakiwalisha matango pori wapenzi wenye uchungu na Yanga kwa kuwahadaa na kuwalaghai kuwa mambo ni mazuri tu, wawe na subira vile vile Viongozi waendelee kuwasajili wachezaji wa bei nafuu wasio na sifa za kuichezea Yanga ambao hawana uwezo wa kutoa upinzani uwanjani kwa kuleta ushindi na matokeo chanya. Matokeo yake vyombo vya habari vya mtaani vinaitwa kuzipaisha habari hasi kwa nguvu isiyo ya kawaida!
      ❇ Hawa wangependa Klabu iajiri makocha wa gharama ya chini na kushirikisha wanachama na mashabiki wasio na fikra pevu, endelevu, elimu na uweledi wa hali ya juu kuiendesha klabu...hawa wanafanya hizi fitina za soka kisayansi wakitumia kibwagizo cha wimbo Yanga haina pesa na inashindwa kulipa mishahara ......ukweli ni kuwa dawa ya kupata pesa ni kukaribisha wawekezaji tena haraka na mapema ndani ya siku 60.......
      ❇ Lakini unaposhauri hili la kutafuta njia ya kujikwamua katika hali iliyopo....makundi haya ya watu niliyoyataja hapo juu yanapinga na kutoa sababu ambazo hazina mashiko kwa maslahi yao binafsi...sasa unahoji kama ushabiki wao ni wa dhati ..Je hawa hawaoni uchungu kwa kudhoofika kwa timu? Je, hawa hawataki Yanga ipige hatua ama ni nini? Jibu ni rahisi na haishangazi kuona wanatoa sababu hizi kwakuwa wanatumiwa na klabu ya upande wa pili...na nguvu waliyonayo kiuchumi klabu hiyo ya mtaa wa pili wamesajiliwa kujipenyeza kurubuni makundi hayo niliyoyataja hapo juu ndio sababu hao niliowataja wanatoa kauli hizo...na vyombo vya habari vya mtaani vinaitwa kuzipaisha habari hasi kwa nguvu isiyo ya kawaida!!!...

      ❇ Kama ukichunguza utajua Upande wa pili kwa klabu jirani wanajiapiza kwamba wanauwezo wa kuchukua ubingwa kwa gharama yoyote. Unajiuliza hiki kiburi wamekipata wapi? Je, wanajuaje kama watachukua ubingwa wakati ligi ina mechi 38....na ndio kwanza zimechezwa mechi 13? Labda inawezekana wanasema wana uhakika huo kwasababu ya nguvu ya kiuchumi iliyopo ambayo inatumika kuliimarisha Klabu na pia kuzidhoofisha klabu nyingine zikiwamo hata kuziingilia na kuzirubuni taasisi zinazoendesha soka na timu pinzani aidha kwa njia ya moja kwa moja ama kwa njia za kificho na kisayansi kama ambavyo inafanyika hivi sasa?

      Ushauri
      Yasipobadilika haya usalama na uhai wa Viongozi wa Yanga mashakani ni tahadhari tu

      Daima Mbele Nyuma Mwiko!

      Ahsanteni

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic