December 30, 2019


UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ushindi wao wa bao 1-0 mbele ya Polisi Tanzania ni zawadi kwa mashabiki wao wote.

Azam FC ilipata bao hilo dakika ya 9 kupitia kwa Obrey Chirwa akimalizia pasi ya Bruce Kangwa uwanja wa Ushirika, Moshi.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa walipambana kupata ushindi kwa ajili ya zawadi ya mashabiki.

"Ushindi weu mbele ya Polisi Tanzania ni zawadi kwa mashabiki wetu ya kufungia mwaka 2019, shukrani kwa mashabiki na tunawaomba wazidi kutupa sapoti," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic