INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga kwa sasa upo kwenye hatua za mwisho kumalizana na mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Ghislain Yikpe Gnamien.
Habari zinaeleza kuwa mabosi wa Yanga wamamua kuongeza nguu kwenye safu ya ushambuliaji ili kupata matokeo chanya wanayohitaji.
Nyota huyo alikuwa anakipiga na Gormahia ya Kenya amevunja mkataba na timu yake anatarajiwa kutua nchini leo kumalizana na Yanga.
Kavunja mikataba na Gor Mahia kujiunga na yanga
ReplyDeleteTatizo sio kusajili.Tatizo ni mishahara ya kuwalipa ndio tatizo kubwa utasikia baada ya miezi miwili mkataba unavunjwa hakuna mishahara
ReplyDeleteMnajisemesha tatizo mishahara wakati na nyie mnashindwa kulipa hata housegeli kenge na mikia zenyu!!
DeleteMimi nashangaa sana. Yaani Yanga ashindwe kulipa mishahara halafu Simba analalamika. Kwa nini simba isijikite na mambo yake zaidi kuliko kuizungumzia Yanga? Wapuuzi sana washabiki wa simba
DeleteMaranyingi masikini ndio wanapenda kufuatilia habari za wengine, suala la mishahara Ni Kati ya wachezaji na timu husika, Kwann wengine wanakua wasemaji kwa yasio wahusu?
ReplyDeleteduuuuuu kweli yanga club kubwa arica
ReplyDelete