NYOTA wa timu ya
Juventus, Cristiano Ronaldo aliwashangaza mashabiki wake kwa kutumia muda
mwingi ndani ya gari kwenye usiku wa tuzo za Ligi ya Serie A alipotajwa
akatwae tuzo ya MVP Serie A pamoja na kutaka kuwazuia waandishi kumpiga picha.
Ronaldo hajahudhuria usiku wa tuzo ya Ballon d'Or zilizofanyia Paris alitumia muda mwingi kukaa ndani ya gari alipohudhuria tuzo hizo.
Ronaldo alionekana yupo sawa baada ya kupotezwa kwenye mbio za tuzo ya mchezaji Bora wa Dunia Kwa kushika nafasi ya tatu na tuzo ilikwenda Kwa Lionel Messi huku Virgil Van Dijk akiwa nafasi ya pili.

Messi raia wa Argentina anafikisha jumla ya tuzo sita huku Ronaldo akiwa nazo tuzo tano na ya Kwanza aliitwaa mwaka 2015. Kwenye usiku wa tuzo za Seria A, Ronaldo alitwaa mbili ambazo ni Ile ya mshambuliaji Bora na MVP.
0 COMMENTS:
Post a Comment