MSHINDO Msolla, Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wanaodai mshahara watalipwa leo fedha zao baada ya mipango kwenda sawa.
Wachezaji wa Yanga waliandika barua za kuomba kulipwa mishahara yao wanayoidai kutokana huku wakidai kwamba walikaa miezi mitatu bila kulipwa.
Msolla amesema kuwa wachezaji wanadai miezi miwili tu na hakuna anayedai mshahara wa miezi mitatu.
"Wachezaji wanadai mshahara wa miezi miwili na tuna uhakika wa kukamilisha madai yao leo mambo yakiwa sawa kwani klabu ina matumizi makubwa na fedha hazitoshi.
Wachezaji ambao wanadai mishahara ndani ya Yanga ni pamoja na David Molinga, Lamine Moro, Sadney Urknonb ambaye ameamua kuvunja mkataba wake kwa sasa ni mchezaji huru.

Mabadiliko ya Uendeshaji na kuifanya timu kuingia kwenye uwekezaji .....NINASHANGAA M/KITI ANASEMA ILE KAMATI ILIYOUNDWA INAENDELEA NA MCHAKATO KUTOKA MWAKA JUZI IMEKUWA NA VIKAO VINGI SANA YAANI WANASEMA MPAKA MWAKANI MWEZI WA 6....SASA WATAKUWA WAMECHUKUA MWAKA. 1 1/2...HUKU MNALIA GHARAMA ZA UENDESHAJI NA MAPATO HAYALINGANI NA MATUMIZI........MNATEGEMEA KUONGEZA WANACHAMA KUANDIKISHA WANACHAMA ILI MPATE FEES ILI ZIENDESHE KLABU KUBWA KAMA YANGA??? DAWA NI KUINGIA UBIA/UWEKEZAJI NDANI YA SIKU 60 HAKUNA MUDA WA KUSUBIRI KWAKUWA MMESHAPOTEZA MUDA MWINGI KATIKA MICHAKATO....KUNA VITU VINATAKIWA MITAJI MIKUBWA YA FEDHA KAMA USAJILI, KAMBI, POSHO, UJENZI WA VIWANJA VYA MAZOEZI (KIGAMBONI & KAUNDA) AMBAPO NI MATAJIRI WENYE UWEZO WA KIFEDHA WANAWEZA KUTATUA HILI.....MSIWE NA MAWAZO YA KARNE YA 18...KUTAFUTA MICHANGO KUTOKANA NA KUINGIZA WANACHAMA WAPYA HIZO NI NDOTO HAMUWEZI KUFANIKIWA...100% WANACHAMA KULIPA MICHANGO HAWAWEZI.....KUTOKANA NA UHALISIA WA UCHUMI UNAOBADILIKA KWA KASI
ReplyDelete