Anawaripuwa nini Simba wakati Wana viwanja vyao,Hawana madeni na malipo kwa wakati na huku wachezaji wakiwa wametulia kwa kila raha ambazo MO na wafuasi wanawapapa. Hakuna mchezaji hata mmoja aliewahi kugoma kwa kutokulipwa na Hakuna kudanganyana isipokuwa kweli tupu
Huyu ni kichefuchefu
ReplyDeleteanataka umaaruf
ReplyDeleteSijui kwa nini mnamhoji hajui mpira..pumbavu nyny
ReplyDeleteBora manara alivyoamua kukaa kimya na sio kujibizana na huyu jamaa, eti anajiita kiboko ya manara kwa kuropoka huku.
ReplyDeleteAnawaripuwa nini Simba wakati Wana viwanja vyao,Hawana madeni na malipo kwa wakati na huku wachezaji wakiwa wametulia kwa kila raha ambazo MO na wafuasi wanawapapa. Hakuna mchezaji hata mmoja aliewahi kugoma kwa kutokulipwa na Hakuna kudanganyana isipokuwa kweli tupu
ReplyDelete