MZEE DALALI AWACHANA YANGA KWENYE MAZISHI YA MZEE AKILIMALI - VIDEO Mwanachama maarufu na Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Hassan Dalali, amezungumza masuala kadhaa kuhusina na watani zao wa jadi Yanga katika msiba wa Mzee Ibrahim Akilimali.
0 COMMENTS:
Post a Comment